Category: Ladha singeli

Ladha singeli

Post a Comment. Tuesday, 13 September Hivi Ndivyo Muziki wa Singeli ulivyogeuka dhahabu ndani ya kipindi kifupi. Nilianza kuusikia muziki wa Singeli mwaka na nusu uliopita na zaidi kwenye Bajaj nilizokuwa napanda. Sikuuelewa kabisa muziki huu na mara nyingi niliona ukinipigia kelele tu. Nilikuwa najiuliza ni kipi hasa watu hawa walikuwa wanaimba na tena wakiwa na mfumo na njia zao wenyewe. Ni kama vile walipita shule moja na kujifunza uimbaji wake. Ama hakika muziki huu ulikuwa ukinishangaza sana.

Kwa wengi pia muziki huu ulionekana wa vijana wahuni wanaoishi maeneo ya uswahilini.

ladha singeli

Lakini watu wanaojua, wanasema umekuwepo mtaani kwa zaidi ya miaka 10 sasa na ulikuwa maarufu kwenye sherehe za uswazi kama vile vigodoro na zingine.

Ni muziki ambao wakati mwingi ulikuwa ukiimbwa na wahuni, vibaka, wavuta bangi na wengine mateja. Kwa mujibu wa Kicheko, mtu muhimu kwenye muziki huo, Singeli ni muziki uliokuwa ukiimba na vijana waliokuwa na stress na ulitumika kama njia ya kuzipunguza.

Miaka mitatu iliyopita, hakuna kituo cha redio kilichokuwa kinautambua muziki huu kama wenye kiwango na ubora wa kuchezwa hewani. Japokuwa kulikuwa na muziki wa uswazi kama mnanda wa wasanii kama Omari Omari uliopenya mainstream, muziki wa Singeli ulianza kuchezwa zaidi miaka miwili iliyopita.

Na hakuna anayeweza kubisha kuwa EFM wamekuwa na mchango mkubwa sana kwenye ukuaji na kisha kukubalika kwa Singeli. Wao walitenga kabisa vipindi vya kucheza muziki huo kikiwemo Genge.

AUDIO | Feisali – UMENIBAMBA | (SINGELI)Download/Listen

Lakini pia EFM ilikuwa ikicheza muziki huo hata kwenye vipindi vya asubuhi Breakfast showkitu ambacho hakuna redio iliyokuwa ikifanya hivyo. Haikuchukua muda hadi makampuni ya simu yakiwemo Tigo na Vodacom yaliyotengeneza matangazo kwa muziki wa Singeli.

Muziki huu una nafasi kubwa ya kuendelea kufanya vizuri hasa kwakuwa umeendelea kujikusanyia mashabiki wengi. Kikubwa, ni muziki wenye asilimia ya ladha za Kitanzania, na kuufanya siku za usoni uwe na thamani kubwa nje.

Kuliko kuwakopi akina Lil Wayne wanafanyaje basi tufanye muziki ambao tutakopi muziki wa nyumbani. Vanessa pia anautabiria makubwa muziki huo. Aliongeza kuwa maproducer wakubwa kama Major Lazer na Pharrell Williams wamekuwa wakiufuatilia muziki wa Afrika kwa ukaribu na huenda masikio yao yakaja kutua kwenye muziki wa Singeli. Miezi ya hivi karibuni, Clouds FM nayo imeonesha kuupokea muziki huo. Kwa mara ya kwanza mwaka huu imewapandisha kwenye jukwaa la Fiesta wasanii wa Singeli akiwemo Man Fongo ambaye amedhihirisha kuwa si muziki wa Dar pia, bali umekubalika Tanzania.

Clouds imeenda mbali zaidi kwa kuwaumiza kwa mara nyingine EFM kwa kumchukua mtangazaji wa kipindi chao cha muziki huo, Genge, Kicheko. Pamoja na kuchukuliwa mtangazaji wao, EFM haioneshi dalili za kuacha kuupa kipaumbele muziki huo kwakuwa kupitia kampeni yake ya Muziki Mnene: Tunasepa na Kijiji wameendelea kutafuta vipaji vya Singeli. Si mara ya kwanza kwa muziki mgeni kupanda chati na kupendwa na watu. Lakini historia inaonesha kuwa, kuna muziki uliowahi kutamba lakini haukudumu.

Kwa upande wa Singeli, naamini hautakaa milele, lakini utakaa kwa muda mrefu. Ni kwasababu muziki huo umekishika hadi kizazi cha watoto wenye umri mdogo wanaonekana kuupenda na kuuimba.Usemi huo unarandana na muziki wa Bongofleva, ambao ulianza kwa kukosolewa na baadhi ya watu ambao walikuwa wakiamini kwa asilimia kuwa ulikuwa ni wa vijana wahuni na wavuta bangi.

ladha singeli

Ukiwa na maana jambo lolote ambalo huanza kwa kunyooshewa vidole vya ubaya na kupingwa vikali huwa na kawaida ya kudumu na kufika mbali. Wapo ambao hawakuwahi kuwa na ndoto ya kuiona Bongofleva ikifika ilipo leo, wengi waliamini kwamba ni muziki usiofaa na hata vijana wao walipojaribu kuwaambia kuwa wanaingia katika fani ya muziki huo, waliwakataza kwa kuwaona wanapotoka.

Lakini leo hii Bongo Fleva imekuwa ajira, tena ile inayoingiza kipato kikubwa kwa msanii ukilinganisha na kijana aliyeajiriwa ofisini hata kama analipwa mshahara wa juu kiasi gani.

Leo hii muziki wa Bongo Fleva, umekuwa miongoni mwa nembo za Taifa, unaitambulisha nchi na kuitangaza katika mataifa mbalimbali na hata kuvizidi vivutio mbalimbali vilivyopo ndani ya nchi. Wakati Bongo Fleva ikishika hatamu hivi sasa imeibuka Singeli, muziki ambao umejichukulia umaarufu na kuwa gumzo katika kila kona ya nchi. Kwa kifupi, inapofikia hatua hata msanii mkubwa kama Profesa Jay anapofanya muziki wa aina hii, inatosha kushindwa kujizuia kunyoosha mikono juu, kusalimu amri na kukiri kuwa Singeli imeshinda vita ya ndani.

Na inawezekana hata asilimia 90 ya watu waliopata bahati ya kuusikiliza muziki huu wanashindwa kukataa kwamba wanamuziki wake huvuta bangi kabla ya kuingia studio kurekodi. Sikiliza kwa makini kinachoimbwa kwenye nyimbo zao utabaini kitu. Achilia mbali wanamuziki, hata asilimia kubwa ya mashabiki wa Singeli unapowatazama, wanakuwa na hulka za ajabu pindi wanaposakata rhumba la Singeli, mtu anayecheza muziki na panga kibindoni, unaweza ukamuelezea vipi kwa mfano?

Kwa kipindi kile, kila ulipokuwa ukipigwa muziki wa Mchiriku basi eneo hilo litageuka kuwa maskani ya kuvutia bangi usiku mzima na lazima kesho yake ungesikia watu wakilalamika kuvunjiwa nyumba zao, kuporwa au hata kukabwa. Ukirudi kwa Singeli, wenyewe ni muziki unaofanana vionjo na mchiriku, muziki wenye ladha ya Kiafrika kwa asilimia jambo ambalo linaweza kuwa ni pointi ya msingi katika kuuwezesha kufanya vizuri kimataifa. Huu ndiyo muda mwafaka wa wasanii na wadau wa muziki wa singeli kuhakikisha haupiti njia za mnanda na mchiriku.

Wasanii wahakikishe kwamba wanaimba vitu vya maana na siyo pumba kwa wingi kama wengi wao wanavyofanya sasa hivi, lakini pia wadau wanatakiwa kuhakikisha wanautengenezea muziki huu mashabiiki wenye taswira nzuri kwa jamii ili kuendelea kuupa uhai na thamani zaidi. Mwanzo Dunia Pia Soma. Magufuli asema Tanzania haitafunga mipaka, kuzuia watu ndani kwa sababu ya corona Mongella: Hatutaruhusu mikusanyiko wakati wa pasaka CAG aagiza wajumbe wa kamati ya shule kuchukuliwa hatua Wenye magonjwa haya wachukue tahadhari zaidi dhidi ya corona.Kumshawishi mtu ni kazi ngumu lakini endapo utafikisha ujumbe wenye mafundisho na uhalisia wa jambo ni lazima kila mtu atapendezwa na kazi hiyo.

Kumekuwa na wasanii wengi maarufu hapa Tanzania ambao wameonyesha ubunifu na umakini mkubwa na kufika hapo walipo leo. Lakini je, kama leo wataachana na sanaa unadhani nini kitafuata?

Hakutakuwa na wasanii tena? Jibu ni hapana kwani kuna vijana ambao bado hawajapata nafasi ya kuonyesha uwezo wao lakini wanaweza. Umefika wakati sasa ambao hakuna jinsi ni lazima sanaa ibadilike kuwa yenye ladha tofauti tofauti ili kuweza kurudisha heshima na hadhi ya tasnia kwa kuwa na sura mpya za wasanii chipukizi.

BINGWA lilipata nafasi ya kufanya mazungumzo na mmoja wa waigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu hapa Tanzania, Riyama Ally, ambaye alifunguka mengi kuhusiana na filamu kwa ujumla. RIYAMA: Kiukweli hali imebadilika tofauti na miaka ya nyuma, kwa sababu sasa hivi mashabiki wameshachoka kila siku ladha na maisha yale yale, kwa hiyo unajikuta hali inakuwa ngumu sana soko linazidi kushuka kadiri siku zinavyokwenda. BINGWA: Tasnia ya filamu imekuwa ikitawaliwa na sura zile zile kwa muda mrefu hakuna sura mpya, we unadhani kwa upande wako inasababishwa na nini?

RIYAMA: Hiyo hali ipo na inasababishwa na waandaaji wa filamu hawawapi nafasi wasanii wachanga ili na wao waonyeshe vipaji vyao, kwani wapo wenye uwezo mkubwa ambao wanaweza kuleta ladha tofauti na inayoweza kuleta chachu ya kuzidi kuongeza juhudi ili kufikia malengo ya kuinusuru tasnia ibaki katika chati yake.

RIYAMA: Waandaaji wa filamu wanakuwa wanaangalia umaarufu wa mtu au huyu anakitu fulani kwenye jamii na badala yake wanashindwa kujua kutoa nafasi kwa chipukizi ndicho kitu pekee kitakachompa mtu nafasi ya kutengeneza mashabiki na kufika mbali kisanaa kwa kile unachofanya na kuonekana kwa jamii. RIYAMA: Mimi ninavyoona kwa sababu kutakuwa na ushindani mkubwa hivyo inaweza kuleta mabadiliko, kwa mfano mimi ni mwigizaji wa siku nyingi na nina uzoefu mkubwa anapokuja chipukizi akaonyesha kiwango zaidi pale ndipo mabadiliko yanapokuja.

RIYAMA: Mimi ninashauri waandaaji wa filamu angalieni vipaji ambavyo vinachipukia, kwani wengi wao wana uwezo mkubwa ambao wanaweza kuja kufanya mabadiliko katika tasnia ya filamu na tunaweza kunyanyuka tena, kwasababu filamu zina mashabiki wengi wanapenda kazi zetu ni sisi wenyewe tunawaangusha tu, inabidi sisi tubadilike jamani. Your email address will not be published. Burudani Makala. By Bingwa -- January 17, Leave a Reply Cancel reply.

Search for:.Licha ya kujichukulia umaarufu mkubwa, bado kuna maswali kuhusu muziki huu hasa asili yake huku wengi wakihisi unatokana na kabila fulani. Dar es Salaam. Licha ya hivyo mashabiki wanaona ni moja ya burudani muhimu kwa kila shoo inayoandaliwa hivi sasa. Amani Hamisi ,24, maarufu kwa jina la Man Fongo, ndiye aliyeanza kutamba na muziki huu, kupitia nyimbo mbalimbali kabla hajatoka rasmi kimuziki.

Akielezea asili ya muziki huo, anasema yeye alianzisha staili hiyo uswahilini na malengo yake uwe wa kuchezeka na mtu ambaye hajielewi yaani ilikuwa wa kuburudika tu na kwamba hata jina la muziki huo alitunga. Anasema muziki wake ni tofauti na ule unaoimbwa na Msaga Sumu, kwani yeye anarap huku singeli inaimbwa kwa uharaka kama Bongo Fleva. Hata hivyo, anasema ana mipango ya kuuboresha muziki huo kwani vijana wengi wamekuwa wakiimba ndivyo sivyo na kuegemea masuala ya uhusiano wa kimapenzi pekee.

Ikiwa tamasha la Fiesta mwaka huu linatimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake, mashabiki na wadau wa burudani nchini kwa mara ya kwanza wanaweza kupata ladha ya miondoko ya muziki ya singeli. Mashabiki waliozungumza na gazeti hili kuhusiana na tamasha hilo wameeleza matumaini yao ya kupata ladha ya muziki huo kutokana na kuwa ndiyo habari ya Mjini.

Awadh Kilabu anasema anasubiri kwa hamu kuona ama kuhudhuria shoo ya tamasha hilo ikiwa imekusanya waimbaji mahiri wa singeli kwa sababu ni miondoko anayoipenda. Anasema hata wakipanda jukwaani kutumbuiza mapema au usiku sana atasubiri kwa sababu siku zote amekuwa anahudhuria shoo zao kwenye vurugu lakini katika tamasha hilo itakuwa ni eneo sahihi la kujiachia. Akizungumzia tamasha hilo ambalo mwaka huu linadhaminiwa na kampuni ya TigoNicolaus Sikole anasema tofauti na miaka mingine wasanii wa bongofleva walikuwa wanafunika mwaka huu wasanii wa singeli watavutia zaidi mashabiki.

Sikole anasema mwaka juzi alikuwa na safari siku ambayo tamasha hilo lingefanyia Dar hivyo alilazimika kulifuata Morogoro kutokana na kutotamani kulikosa. Nae Magdalena John Mkazi wa Kimbiji jijini Dar es Salaam anasema tamasha hilo mwaka huu litamlaza hotelini kwa mara ya kwanza ili ahudhurie bila kupata usumbufu wa usafiri wa kwenda na kurudi usiku wa manane.

Anasema angekuwa na uwezo angewaomba waandaaji pamoja na burudani nyingine singeli isikose laivu jukwaani hasa mwimbaji Man Fongo kwa sababu anamzimia sana. John anasema ni katika tamasha hilo pekee ndiyo atakakokata kiu ya muziki huo ambao bado unadhaniwa ni wa vurugu.

Naye mkazi wa Kimara Temboni, Ruth Michael anasema pamoja na kupenda burudani mbalimbali zinazotolewa katika tamasha hilo, wakiwamo wasanii wa ndani na nje ya nchi kama ilivyo ada anatamani kuona wasanii wa miondoko hiyo laivu. Anasema kwanza haamini kama wanacheza bila vurugu, haamini kama wataimba kama anavyosikia kwenye redio na kuwaona kwenye televisheni, hivyo ni nafasi ya pekee kwake kupata majibu ya maswali hayo.

Anasema lengo lao kila mara limekuwa ni kunyanyua wasanii wa ndani kupitia majukwaa ambayo yatawawezesha kuonyesha vipaji vyao ikiwamo jukwaa la fiesta. Mkurugenzi Mtendaji wa Prime Time Promotions Joseph Kusaga anasema wataendelea na harakati za kuendeleza vipaji vya wasanii wapya na wanaoibukia katika muziki hususani wa vijana.

Mwanahip Hop mkongwe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule maarufu Profesa J anasema kuwa muziki huo unaweza kuwa na nguvu kuliko mwingine kwa sasa hapa nchini.

Audio | Rama Dee ft Young Yuda – Mazoea | Mp3 Download

Anasema alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu uliopita ndiyo kwa mara ya kwanza alibaini nguvu ya miondoko hiyo kutokana na kukonga nyoyo za watu. Anasema ni ngumu hivi sasa wasichana warembo, kina mama na kina kaka wanaojipenda na wastaarabu kwenda unakochezwa muziki huo kwa sababu kuna hatari wakaibiwa kila kitu kutokana na wasanii, mashabiki wa muziki huo kuwa na mchanganyiko wa wezi, wakabaji, wavuta unga na walevi. Anasema kuna namna ambayo inaweza kutumika kubadili upepo wa waimbaji wa muziki huo kwa kuwatumia wao kwa wao kutunga mashairi ya kukataza matumizi ya silaha na vitendo viovu katika mashairi yao badala ya sasa wanavyotunga ya kuhamasishana kutenda maovu.

Naye mwimbaji Sholo Mwamba anasema kuwa mipango ya kubadili uchezaji, uvaaji wa wasanii wa singeli ipo isipokuwa kinachohitajika ni nguvu na elimu kabla ya kufanya mabadiliko.

Anasema wasanii wengi wa muziki huo walianza kama masihara na sasa imekuwa ajira yao, hivyo wanahitaji kuelimishwa na kupewa nafasi ili waone faida. Mwanzo Habari Makala. Pia Soma.Intro: Nisogelee nisogelee nisogelee nisogelee nisogelee nisogelee X2 I want to be sober mama soda Nisogelee nisogelee nisogeleeVerse 1 Damen Mjomba Mwenyu Hizo mambo zinavyonesa Kihisia zimenigusa Hii fursa staki kosa Nimenasaa Read More I don't have an account yet.

As a User. As an Artist. I already have an account. Log In Sign Up. Pesa kwanza mapenzi baadae. Heri Muziki. Wanauliza ft JamboSquad. H MO Ze Pacha. Jiongeze Ft. Welcome to Mkito. Let us show you around This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.

To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song. To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options. If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists. To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.

To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song. If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window. From here, you can select your login method. To use your email address or phone number to log in, click this button. Enter your details and click the button to log in. If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.

From here, you can select your signup method. To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form. To register as an artist, click here.

TETEMA SINGELI Beat

Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in. Type the name of the song or artist you would like to find and submit. Login Using Email or Number.Leo Mpaka Home imemtembelea nyumbani kwake, Bahari Beach, Kunduchi jijini Dar ambapo kwenye mjengo huo aliopanga, anaishi peke yake. Mpaka Home imezungumza naye mambo mengi kuhusu maisha yake ya nyumbani, twende pamoja: Mpaka Home: Unaishi na nani kwenye nyumba kubwa hii? Sholo Mwamba: Naishi peke yangu, yaani kisela tu.

Mpaka Home: Nyumba inaonesha ni kubwa sana unamudu vipi kufanya usafi? Sholo Mwamba: Kwenye suala la usafi yaani hapo usinipimie hata kidogo, kwa sababu nishazoea, huwa nasafisha mwenyewe tu. Mpaka Home: Ratiba yako ipoje kwa siku? Sholo Mwamba: Baada ya kuamka huwa napiga tizi kwanza kuweka viungo sawa kisha nahamia kwenye usafi maana si unajua usela siyo uchafu kisha mengine yanafuata. Mpaka Home: Suala la madikodiko, nani anayetengeneza? Sholo Mwamba: Eneo hilo haruhusiwi mtu yeyote kwa sababu mimi mwenyewe ni fundi wa kukaangiza, hivyo sina haja ya kuomba nipikiwe au kununua vyakula kama baadhi ya mastaa wanavyofanya.

Mpaka Home: Starehe yako kubwa ukiwa nyumbani ni ipi? Sholo Mwamba: Napenda kuandika mistari kama hivi unavyoona nina daftari na kompyuta mpakato laptop lakini ugonjwa wangu mkubwa ni kutazama muvi. Mpaka Home: Hongera naona upo kwenye mjengo wa maana, umepanga au umejenga? Sholo Mwamba: Hapa nimepangishiwa na menejimenti yangu inayosimamia shughuli zangu za muziki.

Mpaka Home: Unauzu ngumziaje Muziki wa Singeli, unakua au unasuasua? Sholo Mwamba: Hapa tulipo ni hatua nzuri ukilinganisha na historia nzima ya muziki wetu kipindi cha nyuma, ambapo ulionekana kama wa kihuni. Sasa hivi kila mmoja ameukubali mpaka mshamba anaelewa.

Naamini tutazidi kutoboa zaidi ya hapa. Mpaka Home: Unamudu vipi ushindani uliopo baina yako na wasanii wenzako wa Singeli? Sholo Mwamba : Unajua sisi kila mmoja ana ladha yake adimu ambayo inasababisha mashabiki wake wamkubali.

Hata hivyo, sishindani na mtu. Mpaka Home: Masela wako wa zamani, vipi wanakutembelea hapa?

ladha singeli

Sholo Mwamba: Hahaa! Siwezi kuwakwepa wanangu kwa sababu wao nilikuwa nao kabla ya kutusua sasa naanzaje kuwatenga, nikifanya hivyo nitaonekana kama nimesaliti kambi.

Mpaka Home: Umesema unaishi peke yako, kwa hiyo huna mchumba? Sholo Mwamba: Ninaye, ila kwa sasa sikai naye yupo kwao.Licha ya kujichukulia umaarufu mkubwa, bado kuna maswali kuhusu muziki huu hasa asili yake huku wengi wakihisi unatokana na kabila fulani. Dar es Salaam. Licha ya hivyo mashabiki wanaona ni moja ya burudani muhimu kwa kila shoo inayoandaliwa hivi sasa.

Amani Hamisi ,24, maarufu kwa jina la Man Fongo, ndiye aliyeanza kutamba na muziki huu, kupitia nyimbo mbalimbali kabla hajatoka rasmi kimuziki. Akielezea asili ya muziki huo, anasema yeye alianzisha staili hiyo uswahilini na malengo yake uwe wa kuchezeka na mtu ambaye hajielewi yaani ilikuwa wa kuburudika tu na kwamba hata jina la muziki huo alitunga.

Anasema muziki wake ni tofauti na ule unaoimbwa na Msaga Sumu, kwani yeye anarap huku singeli inaimbwa kwa uharaka kama Bongo Fleva. Hata hivyo, anasema ana mipango ya kuuboresha muziki huo kwani vijana wengi wamekuwa wakiimba ndivyo sivyo na kuegemea masuala ya uhusiano wa kimapenzi pekee. Ikiwa tamasha la Fiesta mwaka huu linatimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake, mashabiki na wadau wa burudani nchini kwa mara ya kwanza wanaweza kupata ladha ya miondoko ya muziki ya singeli.

Mashabiki waliozungumza na gazeti hili kuhusiana na tamasha hilo wameeleza matumaini yao ya kupata ladha ya muziki huo kutokana na kuwa ndiyo habari ya Mjini. Awadh Kilabu anasema anasubiri kwa hamu kuona ama kuhudhuria shoo ya tamasha hilo ikiwa imekusanya waimbaji mahiri wa singeli kwa sababu ni miondoko anayoipenda.

Anasema hata wakipanda jukwaani kutumbuiza mapema au usiku sana atasubiri kwa sababu siku zote amekuwa anahudhuria shoo zao kwenye vurugu lakini katika tamasha hilo itakuwa ni eneo sahihi la kujiachia. Akizungumzia tamasha hilo ambalo mwaka huu linadhaminiwa na kampuni ya TigoNicolaus Sikole anasema tofauti na miaka mingine wasanii wa bongofleva walikuwa wanafunika mwaka huu wasanii wa singeli watavutia zaidi mashabiki.

Sikole anasema mwaka juzi alikuwa na safari siku ambayo tamasha hilo lingefanyia Dar hivyo alilazimika kulifuata Morogoro kutokana na kutotamani kulikosa. Nae Magdalena John Mkazi wa Kimbiji jijini Dar es Salaam anasema tamasha hilo mwaka huu litamlaza hotelini kwa mara ya kwanza ili ahudhurie bila kupata usumbufu wa usafiri wa kwenda na kurudi usiku wa manane. Anasema angekuwa na uwezo angewaomba waandaaji pamoja na burudani nyingine singeli isikose laivu jukwaani hasa mwimbaji Man Fongo kwa sababu anamzimia sana.

John anasema ni katika tamasha hilo pekee ndiyo atakakokata kiu ya muziki huo ambao bado unadhaniwa ni wa vurugu. Naye mkazi wa Kimara Temboni, Ruth Michael anasema pamoja na kupenda burudani mbalimbali zinazotolewa katika tamasha hilo, wakiwamo wasanii wa ndani na nje ya nchi kama ilivyo ada anatamani kuona wasanii wa miondoko hiyo laivu.

Anasema kwanza haamini kama wanacheza bila vurugu, haamini kama wataimba kama anavyosikia kwenye redio na kuwaona kwenye televisheni, hivyo ni nafasi ya pekee kwake kupata majibu ya maswali hayo. Anasema lengo lao kila mara limekuwa ni kunyanyua wasanii wa ndani kupitia majukwaa ambayo yatawawezesha kuonyesha vipaji vyao ikiwamo jukwaa la fiesta.

Mkurugenzi Mtendaji wa Prime Time Promotions Joseph Kusaga anasema wataendelea na harakati za kuendeleza vipaji vya wasanii wapya na wanaoibukia katika muziki hususani wa vijana.

Mwanahip Hop mkongwe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule maarufu Profesa J anasema kuwa muziki huo unaweza kuwa na nguvu kuliko mwingine kwa sasa hapa nchini. Anasema alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu uliopita ndiyo kwa mara ya kwanza alibaini nguvu ya miondoko hiyo kutokana na kukonga nyoyo za watu.

Anasema ni ngumu hivi sasa wasichana warembo, kina mama na kina kaka wanaojipenda na wastaarabu kwenda unakochezwa muziki huo kwa sababu kuna hatari wakaibiwa kila kitu kutokana na wasanii, mashabiki wa muziki huo kuwa na mchanganyiko wa wezi, wakabaji, wavuta unga na walevi.

Anasema kuna namna ambayo inaweza kutumika kubadili upepo wa waimbaji wa muziki huo kwa kuwatumia wao kwa wao kutunga mashairi ya kukataza matumizi ya silaha na vitendo viovu katika mashairi yao badala ya sasa wanavyotunga ya kuhamasishana kutenda maovu.

Naye mwimbaji Sholo Mwamba anasema kuwa mipango ya kubadili uchezaji, uvaaji wa wasanii wa singeli ipo isipokuwa kinachohitajika ni nguvu na elimu kabla ya kufanya mabadiliko.

Anasema wasanii wengi wa muziki huo walianza kama masihara na sasa imekuwa ajira yao, hivyo wanahitaji kuelimishwa na kupewa nafasi ili waone faida. Mwanzo Habari Makala. Pia Soma. Waziri asimamishwa kazi kwa kukiuka amri ya kutotoka nje Ni waziri wa Habari wa Afrika Kusini ambaye alienda kupata chakula cha mchana na rafiki yake.


thoughts on “Ladha singeli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *